13.9 C
Nairobi
Tuesday, June 24, 2025
Home Music Lyrics Saraphina - Upo Nyonyo Lyrics

Saraphina – Upo Nyonyo Lyrics

Lyrics
Shamba la babu, nalima
Nivune muhogo na shina
Ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
Aaah
Nipo nyonyo, nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi
Kabisa n’garagaze
Mpaka ni dead
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

The Main Suspect Of The Death Of Albert Ojwang

Albert Omondi Ojwang, a 32-year-old teacher and influential social media commentator from Homa Bay County, tragically died in police custody on June 8, 2025,...

Why Every Eye In Tanzanian Political System

Tanzania's political landscape is currently marked by increasing authoritarianism, with President Samia Suluhu Hassan's administration facing significant criticism for suppressing opposition, curbing press freedoms,...

President Samia’s Stance On Foreign Activists

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has recently addressed the presence and activities of foreign activists in Tanzania, particularly in the context of supporting opposition...

Recent Comments