14.6 C
Nairobi
Sunday, June 26, 2022
Home Celebrity News Fashion VIDEO: Diamond Platnumz Ft Rihanna Coming Soon

VIDEO: Diamond Platnumz Ft Rihanna Coming Soon

The African Lion ūü¶Ā¬†@diamondplatnumz Talks About His Collab With One Of The Greatest Artist In The World¬†Badgalriri¬†(#Rihanna) Which will Be Featured On His Upcoming Album

Star wa Muziki barani Afrika #DiamondPlatnumz ametangaza collabo yake ya kimataifa na Mwanamuziki mkubwa duniani, #Rihanna ambayo amesema itapatikana kwenye album yake.

Akiwa Nchini Uingereza katika kuendelea kuitangaza EP yake mpya ya #FOA (First Of All), Star huyo amefanya Listening Party nchini humo na na Shirika kubwa la Habari duniani BBC ambapo Diamond Platnumz alizungunzia collabo hiyo.

“Ningependa Kufanya Kazi Na¬†#Rihanna, Nahisi Itakuwa Ni Ngoma Kali Sana, Kama Sio Kwenye Album Hii Basi Album Yangu Inayofuata, Tumeshaongea Na¬†#Rihanna¬†Na Timu Yake Na Kila Kitu Kipo Sawa, Kwa Mambo Yanayoendelea Kwa¬†#Rihanna¬†Sasa, Inaweza Ikafanya akawepo Kwenye Album Hii Au Ijayo”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

%d bloggers like this: