14.4 C
Nairobi
Sunday, December 22, 2024
Home Celebrity News Fashion VIDEO: Diamond Platnumz Ft Rihanna Coming Soon

VIDEO: Diamond Platnumz Ft Rihanna Coming Soon

The African Lion 🦁 @diamondplatnumz Talks About His Collab With One Of The Greatest Artist In The World Badgalriri (#Rihanna) Which will Be Featured On His Upcoming Album

Star wa Muziki barani Afrika #DiamondPlatnumz ametangaza collabo yake ya kimataifa na Mwanamuziki mkubwa duniani, #Rihanna ambayo amesema itapatikana kwenye album yake.

Akiwa Nchini Uingereza katika kuendelea kuitangaza EP yake mpya ya #FOA (First Of All), Star huyo amefanya Listening Party nchini humo na na Shirika kubwa la Habari duniani BBC ambapo Diamond Platnumz alizungunzia collabo hiyo.

“Ningependa Kufanya Kazi Na #Rihanna, Nahisi Itakuwa Ni Ngoma Kali Sana, Kama Sio Kwenye Album Hii Basi Album Yangu Inayofuata, Tumeshaongea Na #Rihanna Na Timu Yake Na Kila Kitu Kipo Sawa, Kwa Mambo Yanayoendelea Kwa #Rihanna Sasa, Inaweza Ikafanya akawepo Kwenye Album Hii Au Ijayo”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Ruto Announces Six-Day National Dialogue Over Issues Affecting Kenyans

President William Ruto on Tuesday announced a six-day multi-sectoral dialogue forum beginning Monday, July 15, to discuss issues pressing Kenyans. Ruto told journalists at the...

How Trump Lost The Winnable trial In Court

The two HUGE mistakes Donald's lawyers made in his hush money case as his 'deny everything, attack everyone' strategy backfires Donald Trump squandered a 'winnable...

Recent Comments